Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Sisi ni kutembeza kichapo tu mpaka hio League ngumu inayoitwa epl iwe "farmer league "





öle wenu mshindwe kuwafunga nyumbu 9Sisi ni kutembeza kichapo tu mpaka hio League ngumu inayoitwa epl iwe "farmer league "





öle wenu mshindwe kuwafunga nyumbu 9City tena
Arsenyeto
Moto wa mabua huooArsenyeto
newcastle tunamchinja tuinatakiwa tutumie advantage ya Liverpool kupoteana kuongeza gap la point ....!
Next ... Newcastle!
Pale juu ndo tushakaa hivonewcastle tunamchinja tu
Huyo keshapoteana...Nunez red mapemaaaKama kawaida yetu tuendelee kumuombea mpinzani wetu mkubwa njaa
Inaonekana liva hata kwa man u atahangaikainatakiwa tutumie advantage ya Liverpool kupoteana kuongeza gap la point ....!
Next ... Newcastle!
Sasa hivi Liverpool kinachowatesa ni midfielders,kuna majeruhi kibao ....thiago ,keita ,OX ,hao wote wapo vitandani ....Inaonekana liva hata kwa man u atahangaika
united ni timu mbovu kuliko timu yeyote epl ,kwanza hawana morali ,passion ,Wala sprit ya kuipigania timu yao ,tayari wameshagawanyika hawana muungano ,huko dressing room Ronaldo kashakuwa kirusi ,timu ya namna hii hata wakicheza na singida united usitegemee wanaweza kushinda .,..!Kabisaa...hii wiki timu za big six zilizoondoka na point 3 ni city na arsenal hao wengine wanatapatapaTukiendelea kuwa watulivu ,na tusipopata majeruhi ya hovyo hovyo sioni sababu ya kuikosa epl ...!
Japo bado. Naona chemistry haipo kabisa kwenye timu yeTuu yuLe greaLish asugue2 bado haja deLiver tuLichokua tunakitegemea kwa naThaN AkE naoNa anakuWa soLid zaidii aongezee creativity asogee awe ma uwezo kukokotA mpiRaa kuhusu eneo La midfielder sina Wasiwasi naLoo japo natamani sana siku1 nimwone PhillipS na rodRii MatCh kama Bernardo haeLewekii wachukuEe verraTii mwambAaHizi mechi ndogondogo ni za kujibebea point kama kweli tuko serious na kombe na in fact tumeanza vizuri kinachohitajika ni consistency