cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,296
Tarehe 04/05/2022 tuone kinacho tokea maana kwa hayo matokeo man city hawana uhakika wa ku qualify.





mwaka huu UCL na EPL ni yetu, poleni kwa kuteseka lol.Tarehe 04/05/2022 tuone kinacho tokea maana kwa hayo matokeo man city hawana uhakika wa ku qualify.





mwaka huu UCL na EPL ni yetu, poleni kwa kuteseka lol.Pambafu. Bernabeu mnakufa tatu kavu.







na tunaingia final Hili timu lenu siyo uefa materials. Uyu Pep ataondoka hapa city bila hili kombe..
Ninyi ni takataka haswa..
,#CFC![]()






si utulize kwani chini, wee umetolewa kaa pembeni lol.Yaan huyu akubali kwenda arsenal? Aaaah wapi.Huyu asiuzwe kabisa ,daa arsenal wanataka kuokota dodoView attachment 2201966
Kashafanya kazi na arteta ,so inaonekana arteta kamshawishi na pep naona kashampa go ahead...!Yaan huyu akubali kwenda arsenal? Aaaah wapi.
Ngoja tuone mutafika api sasa ..Madirid pale kwake mnakaasi utulize kwani chini, wee umetolewa kaa pembeni lol.
Kuingia mnaruhusiwa ila kuchukua kombe ndio shidana tunaingia final
Etihad huu mwaka n wetu.


kwanza kabisa pep ahakikishe Jesus haondoki kabisa city ,!
Average playerArsenal waache masiala kabisa ,yaani tuwauzie Jesus kwa £35millionkwanza kabisa pep ahakikishe Jesus haondoki kabisa city ,! View attachment 2206897
Mwanaume unataman mkuyenge wa mwanaume mwenzako, acha umama.Hii picha, KDB ana bonge la mkunyenge.![]()
Mwanaume unataman mkuyenge wa mwanaume mwenzako, acha umama.






mbna unateseka na KDB? Weka na wee nikusifie km unaona wivu.Huyu haondoki hata, bado yupo yupo sana.Arsenal waache masiala kabisa ,yaani tuwauzie Jesus kwa £35millionkwanza kabisa pep ahakikishe Jesus haondoki kabisa city ,! View attachment 2206897
Msimu huu EPL na UCL tunabeba, mtake msitake.Kuingia mnaruhusiwa ila kuchukua kombe ndio shida





Tunampiga pale pale bernabeu mbele ya ndugu zake.Ngoja tuone mutafika api sasa ..Madirid pale kwake mnakaa





Aende huko arsenal akaishie kucheza ndondo, atajua hajui. LolKashafanya kazi na arteta ,so inaonekana arteta kamshawishi na pep naona kashampa go ahead...!
Wewe hunisumbui kitu kuna sehemu nitakupa tu.vipi unaloooo?
Weka akiba ya maneno yakomwaka huu UCL na EPL ni yetu, poleni kwa kuteseka lol.
Tutaona sasa.Weka akiba ya maneno yako
Sasa Liverpool kacheza na Villarreal tu kaishia mbili bila
Na mm niliyemfunga Madrid 4 kwa 3 tunatofauti gani?