The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Masikin ya Mungu bado watamtuma Steven gerad na villa yake aje kuifunga city,yaani sisi mbwa yeyote atakayekuja mbele yetu ni kumpa kipigo cha mbwa Koko na kutoka anabweka bweeeee bweeeee
 
Mwili sisimizi nguvu tembo ,Brighton walikuwa wanafanya kazi ya kumvuta shati tu .. bernado
mancity-20220420-0005.jpg
 
Liverpool siku zinakuja watalia machozi ya damu huku wakijuta kwanini hawakutufunga etihad wakatuacha pale juu kileleni
 
23rd, tutakuwa kwenye mazoezi ya viungo na Watford, ili 26th,hawa wazee kina Benzema dawa iwaingie vizuri.
 
Mahrez naona alitakiwa kuwa ndio man of the match ...1 goal + assist ....kDB ana asist tu
mancity-20220421-0001.jpg
 
Six games to go.....!

Lile goli la sterling la offside against Liverpool....
mancity_mcfc-20220421-0001.jpg
 
Back
Top Bottom