Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Moment

HahahaKuna vitu vingine huwezi kuiga .....
Imagine pep anachezesha namba 10 wawili .....
Yaan bernado na kdb wote wanacheza namba 10 na tuna win ....juzi pablo wakati anacheza na mbeya kwanza niliona anajaribu huo mfumo kidogo apasuke .....
Yaah vitu vingine unaona ni uongo na pep anawadanganya ma manager wengineHahaha


...



...Oyah!...eti nasikia mmejamba leo kule LONDON ivi ni kweli mzee?, nyie jikausheni tu lakini habari zenu tunazo mmejambia london lakini ushuzi wenu hadi uku TZ umefika...pole kijana hii ndo EPL ngoma ya kitoto haikeshi...ngoja huone namna Mr. KIPARA anavyoenda tulia pale juu muanze kumfukuza kwa tochi mchana kweupe...Dah!Huu utopolo umeanzishwa 2009😂😂😂🤣🤣





ni Kweli ya kifala lakini imewazidi TOTAL TROPHIES....Timu la ki fala sana hili