BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Man sheet leo hamponi pepe leo kipara kitaota nywele
Umeumbuka, muwe mnaweka na akiba ya maneno....mna jeuri gani ya kumpiga city ninyi 🤣
Man sheet leo hamponi pepe leo kipara kitaota nywele
Man U,wamelowa nyumbani,nyumbu wanazidi kupoteana 😃😀😄😃ðŸ˜Acha masihara kamanda wangu 😃 KDB na Cancelo wameupiga mwingi, tena huyo KDB ni hatari na nusu
Passes Man u 322 - 753 Man city
Ball possession 32.3 - 67.7 Man city
Corners Man u 1 - 9 city
Ulikuaga unajifanya shabiki ndaki ndaki wa Barca.Acha masihara kamanda wangu 😃 KDB na Cancelo wameupiga mwingi, tena huyo KDB ni hatari na nusu
Passes Man u 322 - 753 Man city
Ball possession 32.3 - 67.7 Man city
Corners Man u 1 - 9 city
Man city mpaka SasaOld Trafford View attachment 2001110
Ulikuaga unajifanya shabiki ndaki ndaki wa Barca.
Mara paaaaap... Siku hizi ule uzi umeukimbia. 😅😅😅
Man U,wamelowa nyumbani,nyumbu wanazidi kupoteana 😃😀😄😃ðŸ˜
Na crystal palace?Man city mpaka Sasa
Tumeshawafunga ...
Chelsea
Lecister city
Arsenal
Man utd
Draw na Liverpool
Timu zote kubwa tumepata point .....
Crystal palace sio timu kubwa,ilituotea ....Na crystal palace?


















































































