The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep analaumu kuwa mashabiki wa city hawataki kuja uwanjan ,amesahau kuwa amepoteza final kizembe kabisa mbele ya vibonde Chelsea ......!!!

ile final ya CL ilikuwa inaenda kubadilisha atmosphere ya Etihad

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kubalini tu Man shity ni timu ndogo haina Fan base kubwa
Pep analaumu kuwa mashabiki wa city hawataki kuja uwanjan ,amesahau kuwa amepoteza final kizembe kabisa mbele ya vibonde Chelsea ......!!!

ile final ya CL ilikuwa inaenda kubadilisha atmosphere ya Etihad

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pep analaumu kuwa mashabiki wa city hawataki kuja uwanjan ,amesahau kuwa amepoteza final kizembe kabisa mbele ya vibonde Chelsea ......!!!

ile final ya CL ilikuwa inaenda kubadilisha atmosphere ya Etihad

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Akitoka pep nani ataenda kuwa kocha hapo?

Hamuoni at least amejaribu
 
Usifikili monsour ni sawa na hao wawekaza wa arsenal ,hawezi sajili makocha average wakati ...

Conte yupo ...

Zidane yupo ...

But siombei pep kutoka ,japo IPO siku atatoka ...

Back
Top Bottom