ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Man utd ni wahuni tu ,ndani ya nusu saa wamebadili upepo na kumchukua cr7....
Imekuaje mkuu? Si alikuwa anakuja city?
Man utd ni wahuni tu ,ndani ya nusu saa wamebadili upepo na kumchukua cr7....
Kawaulize Alex Ferguson na ole ,..wana wivu hatariiImekuaje mkuu? Si alikuwa anakuja city?
Naona ukuni umekurudia, vp tuchomoe.?Ronaldo ni takataka ,wewe umepachikwa ukuni nyuma sio bureee
ii timu ya vibakaKawaulize Alex Ferguson na ole ,..wana wivu hatarii







bakini na vibaka wenu
Our kompany.!!
Leo arsenal watajuta kuingia uwanjan
Hata wewe ukileta za kuleta tunakupelekea moto ...Unaifunga Asenane unajitapa, hivi kweli una akili ww.