Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hatuhitaji hio sisi ....Nyie sajilini matakataka tuje tuwagonge Tena UEFA![]()
Tunataka kunyoosha league ya EPL ,sioni mbwa wa kusogea ,wala kutamani kucheza na city ...
Hatuhitaji hio sisi ....Nyie sajilini matakataka tuje tuwagonge Tena UEFA![]()
Mbona unateseka mzee ...
Bado Kane ,goal machine anatua city ...
Tunataka kuhakikisha tunaburuza takataka zote za england ...
Hakuna timu itatamani kukutana na sisi ze cityzen![]()
Nan kakuambia tunashida na CL ....Lakini UCL utaisikia kwenye bomba tu.
Nyie man utd sio ndio mnamchukua sacho ,kwa iyo mnachukua mchezaji anayeenda kuflop eeeh ...!Grealish, Kane na Sancho hao wachezaji msimu ujao wa 2021/22 wataflop sana. Tunza hii comment.
Combination pekee itakayofanya kazi ni hii ya mwisho.
Huyoo halaand mnahela nyie kenge ???Combination pekee itakayofanya kazi ni hii ya mwisho.








180 PL Appearances
️ 42 Goals
78 Assists
5 League Cups
3 Premier League Titles
1 FA Cup
2 Community Shield
2 PFA Players' Player of the Year
1 Champions League midfielder of the year
1 Premier League Player of the Season
1 Premier League Playmaker of the year ....







Hii inahusu nini wewe nyang'aooooUkumbusho ni muhimu sana View attachment 1834929









Hii inahusu nini wewe nyang'aoooo
Tupo tunasherekea euro banaa![]()