4 yearsHili jamaa vpView attachment 1798927
United kwa sasa sio timu tena, hawana kocha misimu minne sasa hawana hata kombe mojaWage bill
United £284m
Villarreal £73m
Squad cost
United £831m
Villarreal £142m
Ii ilikuwa jana








Namba mbili imeenda sawa kabisa kama nilivyopredict ✔.. .. bado city 😀 nampa 100%✔Huyo kante wenu atafichwa hiyo jumamosi.. ..mpeni tu sifa 😃
Man city bingwa
Villareal bingwa
Tatizo ni bei, siku hizi washambuliaji wamekua adimu sana ambapo inapelekea bei zao kuwa kubwa mno.Ni kweli kabisa.
Haland isingekuwa ishu ya raiola angependeza sana kuja pale etihad
Inasikitisha sana.United kwa sasa sio timu tena, hawana kocha misimu minne sasa hawana hata kombe moja![]()






Hamjawah kumpigia city mpira mwingiNyie Abunuwasi tutawapigia mpira mwingi hamjapata ona.
#CFC![]()