Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Liverpool wamekuwa Liverfool. Huu msimu man city
Wewe ni mwehu!!!Keeper wangu give you a game!
Siku ya ubora wake hii mechi ningeshinda 1-0!
Bao la kwanza mpira rahisi sana kadaka kaachia
Bao la pili na tatu hadi aibu
Goli la nne kakwepa mpira
Anyway hongereni kwa ushindi lkn maneno yangu kama beki yenu haijawa tested leo yametimia!
Hingereni Citizen lkn team bora uwanjani Liverpool imepoteza mchezo
Kumbe huwa ina mashabiki
Kweli "maajabu hayaishi dunia" bila KDB umekula 4GSina Mane
Sina VVD
Sina Gomez
Sina Matip
Sina Fabihno
Sina Jota
Bado nashinda 3 kwa inform WHU
Ww hauna tu KDB mechi na trash SU umecheza kama Bata na bado una amini utampokonya Liverpool ubingwa?
Kweli maajabu hayataisha duniani
Liverpool tunaenda tetea ubingwa wetu

Kichaaa huyooWewe ni mwehu!!!
Keeper wangu give you a game!
Siku ya ubora wake hii mechi ningeshinda 1-0!
Bao la kwanza mpira rahisi sana kadaka kaachia
Bao la pili na tatu hadi aibu
Goli la nne kakwepa mpira
Anyway hongereni kwa ushindi lkn maneno yangu kama beki yenu haijawa tested leo yametimia!
Hingereni Citizen lkn team bora uwanjani Liverpool imepoteza mchezo

, ulitaka muitest how yaani ? Kwa goli moja tena la penati, hauna clear misses.. sasa wewe unatakaje mwaisa ? How many crosses zimekuwa saved na defense ? One on one ? Mwaisa kuwa serious bhnaNadhani kipa wangu leo kapata tatizo la kisaikolojia!
Man City sio team ya kutisha kabisa,hata bila beki bado Liverpool wanamuweza
Kipa wangu kakupa hii game,hata nyie mnajua
Lkn ndiyo soka
Pep Guardiola: “What was important was the three points - of course, I’m so proud of the guys who have broken a record that has stood for a long time, that shows how difficult it is and hopefully next time we can do a similar performance with people here.Najua umevurugwaKeeper wangu give you a game!