Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 678
- 1,023
Liver anabahatisha uefa? Je city si atakua anambwela mbwela, since 2005 4 final, while city a single semi, muda mwingine ni bora kuficha ujinga.Hii draw naona imelenga kuzikutanisha timu fulan zilizofanyiana ukatilli mzim uliopita.
Timu kali zote zinauhakika wa kupita,kimbembe kinakuja kwenye KO.
Na ss mfumo wetu wa tik tak tusipobadili uefa itatukost sana .
Mambo ya "" ni replace"" naenda kushambulia sio Uefa.
Halafu ilikundi la city jepesi mpaka kero, msimu uliopita timu zilizopita kimazabemazabe group stage ndo zimefika final kwa sababu walipata challenge za kutosha sana.
Natimu zingine zinazobahatisha bahatisha UEFA kama liverpool sijui ata zilifikaje FINAL
MAN CITY AU BARCA MMOJA BINGWA UEFA
Game ya lyon we acha tu.Liverpool ana damu ya UEFA
Mpira wa show mnaopiga hadi Lyon waliwatoa kamasi
Huyu jamaa anakuwa kama chizi sijui alifikaje humu,au ndo tuzo aliopewa na rais wa fifa.Kantona bhana na mavazi yake ya Vilabu vya pombe
Hahaha sasa hii inahusiana vp na mpira.Bange mbaya kweli! Hotuba hii ya Cantons imewaacha watu hoi.
"Soon science will not only be able to slow down the ageing of cells, it will fix cells and so we will become eternal. Only accidents, crimes, wars will kill us but unfortunately crimes and wars will multiply. I love football. Thank you."
Westham walikula hamsa.Hahahahahahahahah Hakuna West ham huku tutapambana wanaume kwa wanaume.
Yan omba usikutane na izi timu knockout maana zinahasira na uwezo zinao.MAN CITY AU BARCA MMOJA BINGWA UEFA
Uefa sasa hv tunabadilika hamna cha tik tak, io inaitwa magoli kwanza pasi kwenye ligi.Only because they play taka taka(tik-tak)
Hii barca ya messi neymar na grizman sitak nikutane nayo.MAN CITY AU BARCA MMOJA BINGWA UEFA
Neymar kashatua?Hii barca ya messi neymar na grizman sitak nikitane nayo.
Beki zangu nazijua vzr
ni suala la muda tuNeymar kashatua?
Na nyie kabahatisheni sasaYan omba usikutane na izi timu knockout maana zinahasira na uwezo zinao.
Mwaka hui hamna cha bahati bahati kama za liverpool na spurs shenz kabisa
Neymar hana ujanja wa kukataa kurudi barca.Neymar kashatua?
Kuna maneno mtaani kwamba tiki taka haifui dafu UEFA. Juve na mpira wao miaka mitano iliopita wamecheza fainali mbili za UEFA meanwhile Barca in past five years 0 finalsGame ya lyon we acha tu.
Hatukuwafunga kabisa.
Etihad walitufunga 2:1
Kwao sare 1:1
Bahati?Yan omba usikutane na izi timu knockout maana zinahasira na uwezo zinao.
Mwaka hui hamna cha bahati bahati kama za liverpool na spurs shenz kabisa
Io Ni kweli kabisa.Kuna maneno mtaani kwamba tiki taka haifui dafu UEFA. Juve na mpira wao miaka mitano iliopita wamecheza fainali mbili za UEFA meanwhile Barca in past five years 0 finals
Liverpool bado ni tishio uefa.Bahati?
Liverpool anaweza chukua tena