Tatizo pep hampi sane nafasi yakucheza wing ya kulia na ku cut-in.Sane ni Left footed
Mahrez naona bado sana kufikia au kuwa sawa kiwango na Sane na ndio maana nikasema naona Sane ataacha pengo sababu Bernado sio mtu wa kukupa zaidi ya goli 10 za ligi kwa msimu ingawa anajua sana
Uefa hata Aston vila anazo 2 aina maajabu pia, n' forest anayo.
Ni kombe ambalo hata mtu alieshindwa kuwa bingwa kwenye ligi yake anachukua kwaio halina maajab sana.
Kwangu mm
1)ligi
2)uefa
Uefa ni kombe la yoyote yule kwanza huchezi na timu zote.
Tatizo pep hampi sane nafasi yakucheza wing ya kulia na ku cut-in.
Ata akimchezesha na sterling mara nyingi anawafanye wawe wakupiga cross tu,hata timu hake ya taifa inamfanya hvyo.
Ila mahrez tutamuona msimu ujao,nategemea mengi sana kwake.
Sterling,
benardo(wing midfield kwa sasa)
Mahrez vs sane
Jesus vs aguero,
Mendy vs Zinchenko vs angelino,
Foden vs silva(msimu wake wa mwisho ameshatangaza anaondoka na hataki akutane na city)
Full fit de bruyne.
Bernado sio kiungo kwa mtizamo wangu, kumuweka kiungo Bernado ni kuforceTatizo pep hampi sane nafasi yakucheza wing ya kulia na ku cut-in.
Ata akimchezesha na sterling mara nyingi anawafanye wawe wakupiga cross tu,hata timu hake ya taifa inamfanya hvyo.
Ila mahrez tutamuona msimu ujao,nategemea mengi sana kwake.
Sterling,
benardo(wing midfield kwa sasa)
Mahrez vs sane
Jesus vs aguero,
Mendy vs Zinchenko vs angelino,
Foden vs silva(msimu wake wa mwisho ameshatangaza anaondoka na hataki akutane na city)
Full fit de bruyne.
Hivi na hilo unapinga,umefatilia history kweli?Nakupa darasa kidogo:
Notigham Forrest na Aston Villa walibeba European Cup na hawajatwaa Uefa Champions League.(UCL) kama ambavyo Liverpool hajatwaa EPL lakini ametwaa Football League Cup mara 18.
Ufikirie kabla hujaandika
Ni kweli kabisa.Bernado sio kiungo kwa mtizamo wangu, kumuweka kiungo Bernado ni kuforce
The same to Zinchenko nae pia sio Fullback, Kumuweka Zinchenko Fullback ni kuforce
City walisema sane is not for sale.tetesi nyingine ni kwamba PSG nao kama Neymar akiondoka wanamtaka Sane
Sane yuko njia panda
Pia sane amesitisha wazazi wake kuwa agent waketetesi nyingine ni kwamba PSG nao kama Neymar akiondoka wanamtaka Sane
Sane yuko njia panda
Hivi na hilo unapinga,umefatilia history kweli?
Ingia kwenye website ya UEFA utaona kitu hiki
View attachment 1151540
Io ni kweli.Kama ambavyo Liverpool hajabeba EPL lakini ni bingwa wa ligi mara 18 ndivyo hivyo hivyo Aston Villa na Nottingham Forest wameweza kutwaa European Cup twice lakini sio UCL
Format ya UCL ilianza 1992 mzee baba
Io ni kweli.
Liverpool hajawahi beba EPL ila kabla haijawa epl alishabeba.
Huyo ni wakufukuza tuDanilo hataki kuondoka
Vyanzo vinasema anaamini bado anaweza kupigania namba hapo City
Sasa PSG ni wale wale tu nyuma ya pazia wanamwaga pesa nyingi sana, AC Milan hawana pesa kama waarabu wa PSG na Man CityWalionewa pia hawakujitetea vya kutosha.
Mbona psg aliwatuliza tuliza,uefa.
Unakosea.Same for Aston Villa na Nottingham Forest ambao walibeba European Cup lakini hawajatwaa UCL
Danilo yupo kwenye mazoez ya pre seasonDanilo hataki kuondoka
Vyanzo vinasema anaamini bado anaweza kupigania namba hapo City