The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hahahahaha labda uangaliaji tunatofautiana


Wewe mwenzangu umeona Bernado anajua kukaba kuliko KDB hahahahah


Pale nilisema kama inatokea 6 wote wamejeruhiwa (wote wa starting lineup na benchi) KDB anaweza kupiga 6 fresh kabisa


Kama sijasahau kuna kipindi Wayne Rooney alikuwa anachezeshwa sita pale Utd ilihali Rooney ni mshambuliaji
Rooney alivyocheza 6 ilizaa matunda gani?
 
fanscity.jpg

Kunatimu tutazikuta mtaa wa 7 msimu ujao...£40m
10tuss.jpg
 
The citizen kiu na shauku yetu kwa sasa ni UCL maana kama ni EPL na vikombe vingine hatuoni wakutupokonya daima.
 
EPL hata Leicester City anashinda
Cha ajabu ni kipi?
UCL mtaendelea kuiangalia mkiwa sitting room tu kama PSG
Uefa hata Aston vila anazo 2 aina maajabu pia, n' forest anayo.
Ni kombe ambalo hata mtu alieshindwa kuwa bingwa kwenye ligi yake anachukua kwaio halina maajab sana.
Kwangu mm
1)ligi
2)uefa
Uefa ni kombe la yoyote yule kwanza huchezi na timu zote.
 
Uefa hata Aston vila anazo 2 aina maajabu pia, n' forest anayo.
Ni kombe ambalo hata mtu alieshindwa kuwa bingwa kwenye ligi yake anachukua kwaio halina maajab sana.
Kwangu mm
1)ligi
2)uefa
Uefa ni kombe la yoyote yule kwanza huchezi na timu zote.
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
 
Hawa jamaa wanacheza na akili ya sane.
Mchezo ulianzia tangu world cup kutokucheza. Sababu kubwa ya siri nikutokuchezea club kubwa ya German.

Sasa sane atawasikiliza wazazi wake ambao ni washabiki wa bayern ama mkewe anaependa wabaki zaidi England!
Juzi juzi ameachana na wazazi wake kuwa ma agent wake.

Mkataba umebaki miaka miwili,amegoma kusign mkataba mpya kwanza, mpaka mwakani thamani yake itapungua zaidi kama hazard.
 
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Mzee baba hawa jamaa wengine wanaosema l'pool ni timu bora ulaya wakati imeshindwa kuwa bingwa kwenye ligi yake kwa miaka 30,
Kuna jamaa aliniambia liverpool ni bora ata epl kwa sababu imepoteza game moja tu. Na city imepoteza game 4.

Sasa unashangaa city pale England imecheza mechi 50 imepoteza 4 na kuwa bingwa.
Wakati liverpool imecheza mechi 13 tu peke yake uefa na imepoteza mechi 4.
 
Back
Top Bottom