unandika kinyume na picha yako izo ni akili auView attachment 1103579
City anatumia kiasi kidogo zaidi kwenye mishaharaa.
Japokuwa anakikosi kipana namna ile
Apo vpunandika kinyume na picha yako izo ni akili au
Seasons results in all competitions:
Pool - Played 52, Won 37, Drawn 8, Lost 7, Goals For 113, Goals Against 38, Goal Difference 75, Win 71.15%
City - Played 61, Won 50, Drawn 5, Lost 6, Goals For 169, Goals Against 39, Goal Difference 130, Win 81.97%
Tumeshinda mechi nyingi kuliko michezo waliocheza l'pool
Hamna kitu kama hichoJamani nasikia fununu je ni za kweli?
Guardiola , who has a contract at the Etihad until 2021 and has not ruled out staying longer, has been clear each time he has been asked about it.Jamani nasikia fununu je ni za kweli?
UZI mgumu kweliThe citizens tupo
Sio siri hii FINANCIAL FAIR PLAY naona waliianzisha ilikuizuia timu kama City kuweka history
Kuna nakala kadhaa nimezisoma nitaweka link apo chini uone pia.
Kwamba City sio timu pekee iliyofanya usajili wa gharama kubwa na wakutisha.
Tatizo lililopo ni kwamba thamani(bei) za wachezaji zimepanda sana na zinabadilika kwa kila mwaka kulingana na somo.
Mfano shevshenko,essien,shearer,drogba,ferdinand, rooney gharama zao ukizibadili kwa wakati huu ni bei kubwa sana.
View attachment 1105078
View attachment 1105079
Ila ni nini kimetokea mpaka mmbo yakuanzishwa izi FFP na kuibana city namna hii,na kwanini ni wakati huu.
Kwenye kikosi tu cha bei cha EPL cha wakati wote city hatujaweka hata mchezani mmoja.
View attachment 1105087
Ni chelsea na man u(the rags)
Aya tukienda kwa clubs za gharama kubwa zaidi kuazia 1991 utaona city ni ya nne. Ikitanguliwa na chelsea,l'pool,man u.
View attachment 1105098
View attachment 1105100
SO WHY DO THEY INVESTIGATE US TOO MUCH? Na kwann waanzishe FFP whie other teams has already made the history?
TupoUZI mgumu kweli
Timu ama chelsea na man utd with big big spend waliweka historyWhich teams have made the history?