Hope so.Hapana lazima kocha anajua kwann kaanza hivi, Mechi ngumu kama hii anaweka kikosi kibovu. nafikiri anajua kuwa ana mechi za ligi ngumu na ameona akipata droo leo ama -1 sio shida sana, atakazia mechi ya second leg.
Subiri uone kikosi chake second leo ama kwenye ligi tutakapokutana nao.
Mechi kama ya leo Tot alitakiwa kushinda 3 - 0.
Nimechukia ila simlaumu maana naelewa wazo lake.
Na vilevile nilisema jana kuwa kushinda mechi zote tatu kwa tot sio rahisi, ila tutapita. nilisema watashinda 1 - 0 na sisi tutampiga second leg na kufuzu. na ligi tunampiga
Nimeshangaa kuyaweka majembe nje.Hii haikuwa mechi ngumu kwetu bali ilikuwa mechi ya kujihami
Unafikiri kwanini Pep hajaonyesha kuchanganyikiwa? anaelewa mchongo wote. Na hata Kocha wa Tot anaelewa sana ameujua mchozo wa Pep anamuwekea kikosi kibovu ili kutengeneza majeruhi Tazama Kane ni majeruhi sasa,Brother kama tutawachezesha hawa tena game itakuwa ngumu sana.
Na tabia yake guadiola inaweza kutucost kwenye mechi kubwa kama izi.
Timu zikiwa uefa zinabadilika sana yeye hakubaliani na hilo.
Kamuacha menda kwa sababu wamegombana depth anamechi kibao hajacheza zinaweza fika ata 20.
Then unamchezesha uefa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeangalia home tu. ila second leg full jersey pamoja na vuvuzela langu hapooo. maana najua simwachi mtu.
Huwezi amini silva hakuonekana kbs kwa dakika zote 88 alizocheza!
Duh nyie mashabiki bhana, uyo aguero ndo mpiga penati siku zote hapo city leo ulitaka apige nani sasa! Ulitaka pep aote kua leo atakosa ili abadili mpiga penati??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]City wametaka wenyewe kufungwa, hivi lazima Aguero apige penality? Sikuona kama ni mchezaji aliyejiandaa kupiga ile penality, anapiga utadhani yupo mazoezini bila kujali uzito wa mechi yenyewe! Ila sio mbaya City ana nafasi kubwa ya kusonga mbele, pale Etihad Spurs atapigwa nyingi sana!
Nilitaka apige mama yako.Duh nyie mashabiki bhana, uyo aguero ndo mpiga penati siku zote hapo city leo ulitaka apige nani sasa! Ulitaka pep aote kua leo atakosa ili abadili mpiga penati??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka apige mama yako.
Hahahahahahahahah hahahahahahahahahNilitaka apige mama yako.
Sijui kwa nn hana plan b.Pep nae ameanza kuzeeka kimbinu saizi..anakua kama mourihno bhana
Sio nyepesiEndeleeni kuamini hivy UEFA SI KITOTO SECOND LEG NAO WATALINDA US HINDI
Hahah ni kwe kabisa daaa.Huwezi amini silva hakuonekana kbs kwa dakika zote 88 alizocheza!
Sent using Jamii Forums mobile app