OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Acha spurs ashinde ili kweny ligi tumkazie Liverpool ..yeye hana madhara kabisaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa fundi anamuingiza saa iziNilivyoona Delph na Mahrez wameanza nikajua leo shughuli hakuna..!
Sure.City wametaka wenyewe kufungwa, hivi lazima Aguero apige penality? Sikuona kama ni mchezaji aliyejiandaa kupiga ile penality, anapiga utadhani yupo mazoezini bila kujali uzito wa mechi yenyewe! Ila sio mbaya City ana nafasi kubwa ya kusonga mbele, pale Etihad Spurs atapigwa nyingi sana!