Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Naomba uweke screenshot kwa hii statement yako
Kama vile tunavyoomba mtandikwe na Chelsea na game zenu za kubahatisha bahatisha



Mkuu nipo viwanjan apa tayar ngoja tujioneeHivi ndugu yangu umeandika ukiwa unamaanisha au umeandika kujifurahisha????
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure brother nipo viwanjan apaJamani mara ya mwisho spurs kutufunga ilikuwa lini? sina shaka na man city bao 4 zinawatosha!
Leo mapema sana kikosi iko apo juuJamani mara ya mwisho spurs kutufunga ilikuwa lini? sina shaka na man city bao 4 zinawatosha!