Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Sio rahisi kihivyo mzee, mimi kidogo Tot siwaogopi ila Liver na Man U nawapa heshima yao lolote linaweza kutokea
Huyo jamaa ndo kaanza kufatilia mpira hivi karibuni, hajui kama UEFA ni stage tofauti na ligi hata kama mko ligi moja.
Chukulia mfano wa Real na Atletico, kwenye ligi ilikuwa Atletico anashinda, wakikutana UEFA ni case tofauti kabisa.
mkuu haupo pamoja nasi