Hata majina ya wachezaji kuyataja kazi kwako ndio maana unahangaika tu yaan ni undirectional[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] nimeshalitoa hilo neno mkuu,
Man city sio mungu yy asifungwe ni timu kam tim zingine sema ana style tofaut ya uchezaj, mpira wa kii-spanyiola ndan ya uingereza. Cha msing point 3 muhim, namna ya kucheza ni kitu kingine.
Binafsi napenda sana jinsi timu yng inavocheza, napenda mpira wa pass spend limpira la kubutua. Yan unamfunga mtu Kwa starahe. Kwa mpira wetu mtu akijichanganya anakula sita, Saba, tano, nne... Na ndo maana tunaongoza kufunga magoli. Lkn hiyo haizuii kupoteza match km sik siyo yetu, coz kila mtu ana siku yake ya kubanwa, nawaonea huluma river siku mkibanwa maana hamjazoea... Najua kweny akil zenu mnaona hamtafungwa... Angalia ulivomfunga Everton.
Naamin man city sio timu ya kutegemea mtu mmoja km Barcelona na mess, PSG na naymar, Madrid enzi hizo na Ronaldo, Chelsea na harzard, man u na de Gea, River na Mo Sarah,.........n.k.
Ila sisi akitoka mtu mmoja watu wanaswech wanacheza kulingana na waliokuwepo na Wala pengo lake halionekani. Hata asipokuwepo fednandinho watu watasweech tu na utashangaa... Alisemwa KDB sembuse huyo, nafasi yake Gundogan anaweza akaicheza na akaimudu vzr... Kuna match nying tu tumecheza bila jamaa na tunashinda kama kawaida.....
Machi tuliopigwa pep alifanya ujinga mwenyew wa kumchezesha stones kam kiungo mkabaji, hicho ndo kulichomponza. Stones ni full back so kiungo wap na wp, alikuw hanyumbuliki in fact kilimshinda.
Mwisho ukimsema fednandinho usimsahau na DAVID SILVER. namkubal sana huyu kiumbe.
Hii inamaanisha man city haina namba6 tofauti na fernadinho[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] nimeshalitoa hilo neno mkuu,

Kutokana na kauli zako kama nduo hvyo ungeandika" Riverpool fc"Narudia tena sio liver ni "Liverpool fc"
Tukisema "fc" tunamaanisha "football club". Kwhy sitak kuona mtu arudia tena hayo makosa, Liverpool sio liver. Look very![emoji57][emoji57][emoji57]
February haipo mbaliNaona upo kwenye nchi ya DREAMLAND...
Asante mzee baba ukiongea ww it's ok but mm pumba[emoji23]Acha jutetea kwenye hamna ww
Ukute ulikuaga shabik wa ARSENAL ww ndio maana pumba nyingi
Najitetea niko mahakan joh?? Mi naandika fact sio kujitetea chali anguKutokana na kauli zako kama nduo hvyo ungeandika" Riverpool fc"
Kujitetea yenyewe kazi yaan hujui
Issue sio silabi cha muhim ni hoja tu na najua ujumbe umeupata.Hata majina ya wachezaji kuyataja kazi kwako ndio maana unahangaika tu yaan ni undirectional
Saraha~ni salah
Harzard~ni Hazard
Naymar~ni neymar
Kashabikie Yanga ULAYA huwezi
Usipanic aarifu[emoji23]Hii inamaanisha man city haina namba6 tofauti na fernadinho
Uwe unaelewa ndo unamquote mtu
Usikurupuke
Delph??? HahahaUe unaelewa bas na ww nimeshakwambia city haitegemei mtu, hata kam fednandinho akiumia msim mzima tutapata matokeo.
Nikupe mfano mzr, unajua Fabian Delph natural position yake?? Na anacheza namba ngap??? Fabian Delph ni midfielder naturally, lakin anacheza kam left back(namba 3). Danilo anacheza kam Left back wakati yy ni right back, na tunapata matokeo. Na mwaka jana tumenyanyua ndoo bila kuwa na beki wa kushoto halisia.
Kwo cha msingi sio kukalili namba, watu wanaswech na mambo yanenda bro
Arsenal ndo mnyama Gani,??? Sina moyo wa kupigania top four kila mwaka. Am a city fun forever and ever. Sijawai kuwa shabik wa uchochoro mwingne wwt.Acha jutetea kwenye hamna ww
Ukute ulikuaga shabik wa ARSENAL ww ndio maana pumba nyingi
Ok niwie radhi katk hilo chalii ya kwa mromboo au ya hapa pasua kwetuArsenal ndo mnyama Gani,??? Sina moyo wa kupigania top four kila mwaka. Am a city fun forever and ever. Sijawai kuwa shabik wa uchochoro mwingne wwt.
Umeelewa lakn nilichokiongea??? mbona unajib out point.Delph??? Hahaha
Kwel huijui EPL pamoja na timu yako mwenyewe
Yaan jambo ambalo unalizungumza likija kutokea mtahangaika ww jiulize swal kwann mpk sasa hiv PEP anamlilia" de jong " ???
Ngoja nikusaidie kujibu pep anamlipia de jong aje awe backup ya fernadinho .
Mkitaka kufungwa mpk msahau mkabidhini hiyo role DELPH kipara acheze DM mtakua mnapoteana humu
Ww hujui kuwa Fernadinho anaficha madhaifu ya beki zenu hizo mbovu
Acha mfananisha fernadinho na vitu vya kipumbafu mzee
Fernadinho akikosekanaga hata Brazil bas ni matatizo tyr
Yaan ni saw na ANOD wa liverpool umrudishe kwa sasa akacheze DM namba 6 kisa tu aliku anacheza hyo namba kwenye academy yake utakua unatafuta matatizo
Delph akabane na watu kama kina DEMBELE,DELPH,WIGNADUM,HERRERA ,POGBA,WANYAMA haha my braza mtakufa nyingiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ok niwie radhi katk hilo chalii ya kwa mromboo au ya hapa pasua kwetu
Bas mkuu amin kua hamna namba6 mwingine wa maana tofaut na FERNADINHO tumalize ubishiUmeelewa lakn nilichokiongea??? mbona unajib out point.
Mm nimesema Delph alicheza na mpaka sasa anacheza nafasi ambayo sio yake origin.. sjamaanisha acheze namba 6... Mbona umejibu tofaut na nilchomaanisha? Ebu rudi ukasome vzr bn!
Kusajili ni muhim sana na ni kawaida kweny tim, alisajiliwa Mahrez, je alikuja kum-replace nan? Kwo De jong ni kama usajili wa watu wengin. Issue ni kupanua kikosi. Full stop.Delph??? Hahaha
Kwel huijui EPL pamoja na timu yako mwenyewe
Yaan jambo ambalo unalizungumza likija kutokea mtahangaika ww jiulize swal kwann mpk sasa hiv PEP anamlilia" de jong " ???
Ngoja nikusaidie kujibu pep anamlipia de jong aje awe backup ya fernadinho .
Mkitaka kufungwa mpk msahau mkabidhini hiyo role DELPH kipara acheze DM mtakua mnapoteana humu
Ww hujui kuwa Fernadinho anaficha madhaifu ya beki zenu hizo mbovu
Acha mfananisha fernadinho na vitu vya kipumbafu mzee
Fernadinho akikosekanaga hata Brazil bas ni matatizo tyr
Yaan ni saw na ANOD wa liverpool umrudishe kwa sasa akacheze DM namba 6 kisa tu aliku anacheza hyo namba kwenye academy yake utakua unatafuta matatizo
Delph akabane na watu kama kina DEMBELE,DELPH,WIGNADUM,HERRERA ,POGBA,WANYAMA haha my braza mtakufa nyingiii
No 6 halisia yupo huyo mmoja, lakn swala sio namba narudia tena... Awepo mmoja au asiwepo hii haimaanish city itakuwa mdebwedo. Ni kwel hayupo lkn tm haitegemei mchezaj mmoja. Kwo issue sio no.Bas mkuu amin kua hamna namba6 mwingine wa maana tofaut na FERNADINHO tumalize ubishi
Hahahaha hawa ndo wale wahamiaji kutoka timu zingine uko...Acha jutetea kwenye hamna ww
Ukute ulikuaga shabik wa ARSENAL ww ndio maana pumba nyingi