SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Leo kazi mnayo watani
Hii page ilichangamka sana juzi hadi nilikimbia kwatulichofanywa
City kashaolewa na l'pool kwahiyo popote pale atavuliwa nguo tu


mimi siyo city nifatilie huku utajua mi timu ganiUna damu ya liverpool sema basi tu barcelona wamekurubuni...mimi siyo city nifatilie huku utajua mi timu gani
Matokeo yamekuwaje?Nyie mashabiki wa kukodi ina maana hamuoni kinachowatokea pale etihad? Thread imepoa kama uji wa mgonjwa aliebadilika hali ghafla!
manc 2 v manu 3Matokeo yamekuwaje?