Kwa vigezo hivyo sasa hukutakiwa kusema kwamba city wameanza kupata mafanikio mwaka huu kwa sababu uliyolist hapo hakuna geni ata moja kwa City

Kama hyo EFL tumeshachukua sana hii ni mara ya 5 sasa kama sikosei.

Robo final UCL sio mara ya kwanza kuingia tulishaingia tukiwa na Pellegrin msimu wa 2015-16 kama sikosei..

Bingwa uteule siwezi kusemea maana bado huo uteule hatujapewa na haitakua mara ya kwanza kuchukua kombe la EPL

Kufikisha points 100 na zaidi pia siisemei sababu bado hatujafikisha na sina uhakika na hilo kama litatimia
Labda ungesema mwaka huu cty wapo kwenye ubora zaidi ndio ingeleta maana