De Bruyne yumo kikosini cha leo.Meneja wa viranja wa Ligi ya Premia Manchester City Pep Guardiola amesema mpangilio wa mechi nyingi msimu wa sikukuu umekuwa "janga" kwa wachezaji.
City, ambao wamo alama 12 mbele ligini, wakiwa na mechi moja hawajacheza, watakutana na Watford Jumanne, ambayo itakuwa mechi yao ya nne katika siku 11 msimu wa Krismasi na Mwaka Mpya.
Wachezaji wao muhimu Gabriel Jesus na Kevin de Bruyne waliumia wakati wa mechi dhidi ya Crystal Palace Jumapili.
Mhispania huyo alisema: "Iwapo utaniambia kwamba kiufundi, kimwili inawafaa wachezaji: la hasha, ni janga."
Jesus aliandika Jumatatu kwamba anaona heri kidogo kwamba hatahitaji kufanyiwa upasuaji.
Mkimbio wa City wa kushinda mechi 18 mtawalia ulifikishwa kikomo walipotoka sare Selhurst Park ikiwa ni mara yao ya kwanza kushindwa kufunga kwenye mechi ligini msimu huu.
Ikizingatiwa kwamba amekuwa mkufunzi Uhispania na Ujerumani ambapo kipindi hicho timu hupumzika, Guardiola alisema imemlazimu kuzoea utamaduni wa Uingereza.
Guardiola amewahimiza waamuzi "kuwalinda" wachezaji dhidi ya kukabwa vikali.
Alikuwa amedokeza kwamba anatarajia Jesus atakuwa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja au zaidi kidogo.
Ubaya wa jeraha la De Bruyne bado haujabainika.
Yumo kwenye kikosi cha leo.Taarifa za KDB vp wakuu
Asante saanaYumo kwenye kikosi cha leo.
Siku ya nn? maana muhimu kama atashinda mechi za mwanzo ili wawe mbali na wenzake.Amini msiaminj siku yenu yaja. Only Time Is The Best Ans
Siku ya kupoteza mechi na mdororo wa ushindiSiku ya nn? maana muhimu kama atashinda mechi za mwanzo ili wawe mbali na wenzake.
wanacheza nao mechi inayofuata?Mashabiki wa man utd wamekasirika,kurudi kwa KDB
Sawa mkuu.Amini msiaminj siku yenu yaja. Only Time Is The Best Ans
Mkuu bado una ndoto za kuchukua kombe EPL msimu huu?Amini msiaminj siku yenu yaja. Only Time Is The Best Ans
Mpk ikifika March ndio nitaacha kuwa na imani kama naweza kutetea ubingwa wangu. Ila kwa sasa najiona bado uwezo, nafasi na nguvu bado ipoMkuu bado una ndoto za kuchukua kombe EPL msimu huu?
Unaota ukiwa uchi tena mchana kweupeMpk ikifika March ndio nitaacha kuwa na imani kama naweza kutetea ubingwa wangu. Ila kwa sasa najiona bado uwezo, nafasi na nguvu bado ipo
Kama huna malengo huna unachokifanya katika ulimwengu huu. Ulitaka niwaze kama wewe.?Unaota ukiwa uchi tena mchana kweupe
Sawa mkuuMpk ikifika March ndio nitaacha kuwa na imani kama naweza kutetea ubingwa wangu. Ila kwa sasa najiona bado uwezo, nafasi na nguvu bado ipo
Subiri sasa huo ubingwaKama huna malengo huna unachokifanya katika ulimwengu huu. Ulitaka niwaze kama wewe.?
Team oilMhh..hii thread hivi itadumu kweli?