Huyu si nimeona anatolewa kwa mkopo?Sverre Nypan to City, here we goView attachment 3365899
Hapo typical wingers ni Doku na Savinho, hao wengine wapo versatile.Ndio maana pep anataka kikosi kidogo, hapa lazima kichwa kiume, hawa wote wanacheza pembeni
Foden
Marmoush
Doku
Bobb
Grealish
Savinho
McAtee
Cherki
Hakuna taarifa rasmi iliyotoleea ila uwezekano mkubwa ni huo.Huyu si nimeona anatolewa kwa mkopo?
Nafikiri ataenda Girona maana wanamtaka na wale tunashare wamiliki.Hakuna taarifa rasmi iliyotoleea ila uwezekano mkubwa ni huo.
Ornstein karipoti kwamba anaweza kupelekwa Aston Villa.
It will be thrilling, exciting, unpredictable.Pep Lijnders ni muumini mkubwa wa gegenpressing, anakutana na Pep mzee wa possessional football.
Nasubiri waje na hybrid ya hiyo mifumo miwili.