The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sverre Nypan to City, here we go
IMG-20250612-WA0020.jpg
 
Siku kama ya leo, mwaka 2023, tunafanya parade baada ya kuwa timu ya pili uingereza kubeba makombe matatu ndani ya msimu mmoja.
 
Timu imeondoka kuelekea Marekani siku ya leo kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia la vilabu.
 
Back
Top Bottom