The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

2022/23 Msimu bora kabisa kwa Alvarez in terms of decorations.

 
He will improve.
Issue sio tu ku improve, je anaipenda hiyo nafasi? yupo tayari kutumika kama beki kwa muda wake pale city?
Beki kuchezeshwa kiungo inaonekana kama improvement lakini kiungo kumrudisha beki? Sidhani kama kuna mchezaji anaweza kufurahia hii switch.
 
According to Fabrizio Romano, Man city and Wolves have reached an agreement for Rayan Ait-Nouri for a fee of £33m.

The player is set to undergo medical on Saturday.
 
Tijjani Reijnders is expected to undergo medical on Sunday before signing a 5 year contract with City.
 
Tumepita na spidi ya kimbunga, tumalizane na cherki tukatafute right back tufunge mahesabu.
 
Majadiliano na Lyon bado yanaendelea juu ya ada ya Rayan Cherki.

Tunaweza kuwa na breakthrough kufikia kesho.
 
Safari ya Grealish imekuwa very tragic pale City.

Pep anabeba lawama kwa kuua kiwango cha one of the most brilliant playmakers in EPL.
 
Safari ya Grealish imekuwa very tragic pale City.

Pep anabeba lawama kwa kuua kiwango cha one of the most brilliant playmakers in EPL.
Toka mechi yake ya kwanza tulicheza na Totteham akawekwa winga kabisa wa kwenye chaki nikaanza kuhofia matumizi ya pep kwa grealish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…