The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu PSG huko World cup mbona atatuletea noma sasa.
PSG ni wazuri ila si invincible kama mnavyowaona, kamtoa villa na arsenal lakini kwa mbinde, hata ile game ya liverpool second leg liva walikua wana uwezo wa kusawazisha lile goli ila tu walikosa clinical finishing.
 
Intermilan nao wazee kwenye midfield wamekutana na vijana damu ya moto lazima wangetepeta tu.
 
Kinachojiri huko Munich 😂😂

View attachment 3352322
Huwa sipendi kabisa utani au uchekeshaji wa kimichezo ukitumia picha za hivi 😔😔

Mambo kama haya pamoja na kauli kama timu fulani imeibaka timu fulani huwa yananihuzunisha sana maana inafanya ukatili kama huu uonekane kama jambo la kawaida na la kuchekewa.
 
Intermilan nao wazee kwenye midfield wamekutana na vijana damu ya moto lazima wangetepeta tu.
Nakumbuka hata ile mechi yetu walitupiga 4-2, first half tulienda nao toe to toe, second half tukawabamiza goli 2 za chapchap kisha ndio wakafanya comeback.

Kilichotugharimu kilikua ni hichohicho, midfield ya wazee wakashindwa ku maintain intensity ya mchezo.
 
Mkuu hiyo picha sio tukio halisi (mtu kumdunda mwingine).

Ni staged scene tu.
 
Klabu ya Los Angeles FC imeifunga klabu ya Club America na kufanikiwa kufuzu michuano ya kombe la dunia 2025 hivyo kukamilisha timu 32.
 
Intermilan nao wazee kwenye midfield wamekutana na vijana damu ya moto lazima wangetepeta tu.
😀Inaweza kuwa Sababu ila sio Sana mkuu,wazee katika Tim ya inter Milan ni Kipa Sommer 37,Arcebi 37 centre beki, kiungo Henrik mkhrutariyan 36 na labdah hakan Coulingohu miaka 31 walobaki wote under 30 na hawa nliowataja maeneo Yao hawazunguki Sana ....

Ndio hapa Guardiola na Madrid wanapogiga Tim nyiingi defence sio kulinda Tu Ata kulinda kwa kushambulia,Tim za Italy zinaamini Sana katika defence na counter play wakikutana na Tim inayojitahidi kubalance shape Yake balaa huwa kubwa
 
Kolo Toure atakuwa promoted kutoka kwenye timu ya academy na kuwa moja ya makocha wasaidizi wa pep.
 
Marmoush aliondoka bundesliga mwezi January but still...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…