The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ni muda naona tunahusishwa na rodrygo wa madrid.
Kama huyu akija itabidi grealish na mmoja kati ya doku au savinho auzwe.
 
Ni muda naona tunahusishwa na rodrygo wa madrid.
Kama huyu akija itabidi grealish na mmoja kati ya doku au savinho auzwe.
Rumours tu hamna kitu hapo.

Kwasasa timu inapambana kuongeza nguvu kwenye midfield na backline, kule mbele tupo full.
 
Hawa watu inabidi wauzwe haraka iwezekanavyo.

Grealish
Doku
Nunes
Gundogan
Ake
Walker

Hawa watolewe kwa mkopo

Reis
Khusanov
Echeverri

Kisha leta

Olmo/xavi simons
Reijnders
Rodrygo
Cambiasso/Livramento/Wesley
 
Ule msimu wa kwanza wa pep alipotoka trophyless, akaondoa magarasa 12 pale city kisha zikaletwa mashine za kazi

Walker
Bernado
Ederson
Danilo
Mendy

Msimu huu naona tuna masihara sana sokoni, mtu kama wirtz sio wa kumuacha kizembe namna ile, naanza kummiss Txiki.
 
Sajili zitafanywa ni suala la muda tu, nakuhakikishia dirisha hili wataletwa wachezaji si chini ya 3 (midfielders 2, fullback 1)
 
Akina dada wetu hawajataka jina la Arsenal lisomeke bila kikombe chochote
 

Attachments

  • 1748179282347.png
    5.9 MB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…