Utaamini tu muda si mrefi si mmezoea kuishi kimazoeaMimi bado siamini kama liverpool atafanikisha hilo dili.
By the way City ya misimu kadhaa nyuma ilikua inambeba wirtz mapema sana, kwa sasa nafikiri tunaathiriwa na ile kesi.
Pia mwezi January tu hapo tumetumia Β£250m kusajili, mpaka hapo budget ya dirisha la kiangazi inapungua na bado kuna nafasi nyingi za kujaza kwenye kikosi hivyo kutumia Β£250m now kwa mchezaji mmoja ni unthinkable.
Recently uongozi wa city umeanza kuwa na maamuzi ya hovyo, tumetumia pauni 250m kusajili wachezaji 5, kwenye hao watano ni mmoja tu ndiye yupo tayari kusaidia timu kutafuta matokeo, marmoush.Mimi bado siamini kama liverpool atafanikisha hilo dili.
By the way City ya misimu kadhaa nyuma ilikua inambeba wirtz mapema sana, kwa sasa nafikiri tunaathiriwa na ile kesi.
Pia mwezi January tu hapo tumetumia Β£250m kusajili, mpaka hapo budget ya dirisha la kiangazi inapungua na bado kuna nafasi nyingi za kujaza kwenye kikosi hivyo kutumia Β£250m now kwa mchezaji mmoja ni unthinkable.
Mabeki walinunuliwa sababu ya injury crisis tuliyokuwa nayo kwenye backline.Recently uongozi wa city umeanza kuwa na maamuzi ya hovyo, tumetumia pauni 250m kusajili wachezaji 5, kwenye hao watano ni mmoja tu ndiye yupo tayari kusaidia timu kutafuta matokeo, marmoush.
Kulikuwa na haja gani ya kusajili mabeki wa kati wachanga 3 na wakati timu ilikua inahitaji mabeki wa pembeni?
Utamaduni wetu ni kuleta vyuma vya kazi, sasa nilipoona tumeanza kuleta kina khusanov, vitor reis sijui juma bah nimeanza ku doubt strategy ya timu.
Kuna Antony kule betis, wote wame score jana.Mctominay kule Napoli anakiwasha vibaya mnoo, manunu sijui wana shida gani tu wale jamaa.