Herzogg
JF-Expert Member
- Apr 17, 2024
- 4,576
- 1,398
Ndio uhalisia mkuu, wacha turudi msimu unaokuja, tuna ubingwa wa dunia wa kutetea pia mwezi juni.Yaani dah! city ya kuwa trophyless nasikitika sana as a city fan bado siamini haya mambo ni ya kina nyumbu.