The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kumuona McAtee tu kaanza mbele ya Marmoush, Doku, Savinho nkashtuka
 
Half time ubao unasoma 4-2, watu wanapigana kamba ni hatari
 
Na mmoja wao akishinda Europa atajisifia eti amefanya vizuri kuliko Arsenal.
Hapo inategemea neno "vizuri" unali define vipi.

Kama ni mataji basi ni kweli atakuwa kamaliza vizuri, kama ni perfomance basi big no.

Lakini je, timu inashindana ili ipate nini mwisho wa msimu?
 
Jana pep asingetuletea droo yake ya ajabuajabu sasahivi tungekua tunaitafuta nafasi ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…