The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tayari timu 3 zinazoshuka daraja zishajulikana.

Hii inakua historia ya timu 3 kushuka daraja mapema zaidi (mechi 4 zimebaki)
 
Jana ilikua ni mechi ya 350 ya Gundogan akiwa na Mancunians.
IMG-20250428-WA0001.jpg
 
Florian Wirtz amefikia verbal agreement na Bayern.

Huenda tukamkosa huyu jamaa.
 
Binafsi naona kumkosa Wirtz inaweza kuwa a blessing in disguise.

Bado tuna mapengo mengi ya kuziba, ada yake pekee inaweza kutumika kununua quality midfielders wawili.
 
Back
Top Bottom