The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Upuuzi wa defence yetu unafanya mtu unakosa matumaini ya kupata hata sare tukishatanguliwa.

Tutajitahidi kushambulua lakini nyuma tunavuja watu wanabamiza tu.
 
Mgomo baridi wa kumwondoa Haaland tu hapo on target 0

Screenshot_2024-12-01-19-46-35-84.png
 
Spurs anatufunga 4 halafu anadroo na fulham, pumbavu kabisa.
 
Hizi sub zijazielewa, pale kati mbona tunaji expose sasa.
 
Mpaka dakika hii hatuna on target hata ya kusingiziwa tu.
 
Back
Top Bottom