"If anyone could fix man city, it's Pep Guardiola, but hopefully after Sunday"
Arne slot.
Huyu kipara version 2 tutamfufukia siku hiyohiyo.




mmmekwisha nyieTumeambiwa hivi toka 2020.mmmekwisha nyie
Leo hatufungwi na jogooNyie mamasita visima vya mafuta vimeanza kukauka uarabuni pesa ya kuhonga marefa na FA imekata
Nawachukia km vibaka morogoro 😬😬
Mkishuka daraja nachinja ngamia
Jinga nyie kazeni kiuno mfunge kuku broiler leo
Mkuu ni kweli? Maana mwenendo wa City mbayaLeo hatufungwi na jogoo