Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Jini anatesa huko
Unajitekenya na kucheka mwenyeweCasemiro kachezewa faulo mbele ya refa lakini mjinga kapeta

Jukwaa letu limepoa sana,mashabiki mmelisusa.Matapeli wa soka mpo.?
Guu la Nnya la Halland sio poa100th goal as Man City player for Erling Haaland! Man City 1-0 ArsenalView attachment 3103547
Arsenal 2 hukoHawa city sijui wanafeli wapi kushinda Hadi muda huu jamani😭😭