Hii game ilikua yetu kabisa yani daaahunakumbuka ile comment yangu kuwa Madrid hawapendi mazoea mazoea na kombe lao
Kule muandae sheikh ubani mapema unapita tunawaoa 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiwoooo!!!
Wacha tuone au tubet?? 😅madrid hanaga mpira wa kuvutia huwa anapaki basi, utashtukia ananyanyua kombe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaaa!!!!Kule muandae sheikh ubani mapema unapita tunawaoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka kalale mpira ushaisha 😂😂😂Hii game ilikua yetu kabisa yani daaah
Yeah tumepambana sema daah 😥😥😥Hii imejirudia km majuzi liver alivyonyooshwa halafu baadae naye Arsenal akachezea vitasa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sema nini city mmekufa kiume wanetu 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Mngepenya mngetusumbua sana humu, mmerudisha goli ghafla mkahamia uzi wa Arsenal na kejeli kibao!!!! Haya kiko wapi?? 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaaa!!!!
Mazoea gani? Kwa mpira upi? Hizo penalties za ndondokelaa,? Huko kupaki bus muda mwingi ndo hamtaki mazoea woiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niangalie marudio kwanza.Kaka kalale mpira ushaisha 😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu ntakubondaaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mngepenya mngetusumbua sana humu, mmerudisha goli ghafla mkahamia uzi wa Arsenal na kejeli kibao!!!! Haya kiko wapi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba Jane bye bye [emoji112]
Ahsantee binamuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole Sana coca[emoji4]
bet wakati huu atakayequalify kuanzia sem-fainal mpaka fainal.Wacha tuone au tubet?? 😅
Hata Liverpool final vs madrd 20/21 alisemaga hivo hivoHii game ilikua yetu kabisa yani daaah