Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,745
Hata mess mwenyewe kasema live Haaland alistaili hii tuzo ,ila sio mbaya nadhani hio ndio ya mwisho Kwa mess ,sasa kawaachia kina mbappe ,Haaland ,Jude ,vinn wajipambanie...Mkuu...Dunia Nzima imeona kwamba HAALAND KANYIMWA TUZO YAKE STAHIKI NA WAKAMPA ILE YA STRIKER BORA ILI KUTULIZA TU KELELE....LAKINI SIO MBAYA JAMAA BADO MDOGO NA PIA YUPO KWENYE TIMU YENYE KOCHA BORA NA YENYE NJAA YA MAKOMBE....HIVYO LAZIMA ATAKUJA KUIBEBA TU HII TUZO...
WEE NGOJA KDB ARUDI KIKOSINI ALAFU KIJANA AZIDI KUWAKA KISHA TUBEBE TENA VIKOMBE KADHAA+REKODI YA X4 EPL+EPL TOP-SCORE.
TUONE KAMA HATOIPATA ILE BALLON D'OR...ILA PIA NIMEFURAH KWAMBA KUNA WACHEZAJI WA MUHIMU KIKOSINI WAMEPEWA RECOGNITION...IVYO HII ITAWAPA NJAA NA MORALE YA KUFANYA ZAIDI NA ZAIDI.
SO FAR...WE'RE THE BEST TEAM OF THE SEASON2022/2023
Kama role ingekuwa reversed halafu Messi akawa ndiye kabeba treble na kuvunja rekodi ya magoli.Mkuu...Dunia Nzima imeona kwamba HAALAND KANYIMWA TUZO YAKE STAHIKI NA WAKAMPA ILE YA STRIKER BORA ILI KUTULIZA TU KELELE....LAKINI SIO MBAYA JAMAA BADO MDOGO NA PIA YUPO KWENYE TIMU YENYE KOCHA BORA NA YENYE NJAA YA MAKOMBE....HIVYO LAZIMA ATAKUJA KUIBEBA TU HII TUZO...
WEE NGOJA KDB ARUDI KIKOSINI ALAFU KIJANA AZIDI KUWAKA KISHA TUBEBE TENA VIKOMBE KADHAA+REKODI YA X4 EPL+EPL TOP-SCORE.
TUONE KAMA HATOIPATA ILE BALLON D'OR...ILA PIA NIMEFURAH KWAMBA KUNA WACHEZAJI WA MUHIMU KIKOSINI WAMEPEWA RECOGNITION...IVYO HII ITAWAPA NJAA NA MORALE YA KUFANYA ZAIDI NA ZAIDI.
SO FAR...WE'RE THE BEST TEAM OF THE SEASON2022/2023
Ni kwel mkuu...umenena vyema kiuhalisia ilifika hatua huwez shinda Category utakayoingia na messi regardless of your achievement...BORA WAMEMALIZA DYNASTY YAO ILI WENGINE NAO WABEBE SASA.Kama role ingekuwa reversed halafu Messi akawa ndiye kabeba treble na kuvunja rekodi ya magoli.
Halafu Haaland akabeba World cup then akatolewa 16 bora UEFA. Ballon d'or bado angechukua Messi..
Hizi tuzo baada ya Messi na Ronaldo kustaafu sasa zitarudi kwenye uhalisia wake na kuacha kutolewa kwa kuangalia umaarufu kama ifanywavyo sasa.
Wivu tu unawasumbua wakati watu tunatengeneza history. This is our era.The aggregate all time score between Manchester City and Manchester United is now 268-267 to City.
“No history” View attachment 2801201
for sureWivu tu unawasumbua wakati watu tunatengeneza history. This is our era.
Welcome to the world of champions [emoji16]Man city saivi nawakubali sana