Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hata mess mwenyewe kasema live Haaland alistaili hii tuzo ,ila sio mbaya nadhani hio ndio ya mwisho Kwa mess ,sasa kawaachia kina mbappe ,Haaland ,Jude ,vinn wajipambanie...Mkuu...Dunia Nzima imeona kwamba HAALAND KANYIMWA TUZO YAKE STAHIKI NA WAKAMPA ILE YA STRIKER BORA ILI KUTULIZA TU KELELE....LAKINI SIO MBAYA JAMAA BADO MDOGO NA PIA YUPO KWENYE TIMU YENYE KOCHA BORA NA YENYE NJAA YA MAKOMBE....HIVYO LAZIMA ATAKUJA KUIBEBA TU HII TUZO...
WEE NGOJA KDB ARUDI KIKOSINI ALAFU KIJANA AZIDI KUWAKA KISHA TUBEBE TENA VIKOMBE KADHAA+REKODI YA X4 EPL+EPL TOP-SCORE.
TUONE KAMA HATOIPATA ILE BALLON D'OR...ILA PIA NIMEFURAH KWAMBA KUNA WACHEZAJI WA MUHIMU KIKOSINI WAMEPEWA RECOGNITION...IVYO HII ITAWAPA NJAA NA MORALE YA KUFANYA ZAIDI NA ZAIDI.
SO FAR...WE'RE THE BEST TEAM OF THE SEASON2022/2023
Haaland anahitaji kujituma kweli kweli ,takwimu za msimu uliopita sijui kama anaweza kuzifikia au kuzipita kabisa ..
Siku zote hizi tuzo zinakuwaga na mkanganyiko mkubwa Sana ,haza hizi era za Ronaldo na mess ,sasa Hao vijeba wawili wametoweka ulaya ...
]: #ManCity are in talks with John Stones regarding a contract extension that could see him remain at the club until 2027, while there is also an ambition to secure Pep Guardiola to a new deal too.
Arsène Wenger: "I would say the gulf between the two teams [MUFC and Man City] became bigger and bigger as the game went on. In the end, for such a big club you felt sorry for Man United because there's no hope there in the team. I don't see where they can improve, basically. This team has lost confidence, quality and even spirit today. I would say it was not a great fighting spirit from MUFC, on top of that." [beIN Sports]
Julian Alvarez on Erling Haaland: 