Rosicky
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 1,203
- 2,064
Mnasahau sanaKuna team zinaenjoy tena zinabebwa ,arsenal anasababu gani ya kucheza game yake jumatatu
Wakati sis tumecheza game Tena ngumu final jumatano na jumamosi tuko uwanjani Tena,tumepumzika siku mbili tu ...
ila Kuna team zimecheza jumamosi ,zinacheza Tena jumatatu ,yaani siku 8 zimepumzikia ...
Last season mlicheza na dortmund jtano uefa mkashinda mkacheza na wolves jmosi saa nane mchana mkashinda
leo hii wasiwasi unatoka wapi wakubwa ???


