Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Baller
Zile kanuni za world cup wameleta na huku, sasahivi itakua ni mtafutano, dk 12 za nyongeza ni kugusa tu, hapo ukute mnaongoza 1-0 au 2-1Siku hizi marefaree wanaongeza dakika nyingi sana ,sijui manatumia vifaa gani kugundua muda uliopotea ..


Daaa nimeshangaa kipind cha kwanza dakika 5 ,kipindi cha pili dakika 6 na Bado zikaenda Hadi 8Zile kanuni za world cup wameleta na huku, sasahivi itakua ni mtafutano, dk 12 za nyongeza ni kugusa tu, hapo ukute mnaongoza 1-0 au 2-1![]()


Huyu hatapoteza muda kukaa bench et kuadapt mfumo ...Gvardiol mmemuonaje kwa hizi dakika alizocheza?
Mie naona ni stones mtupu.
, ....
| Pep Guaridola: “The accident with Erling Haaland? He wants all the time the ball to him, man-to-man, 'give me the ball in behind and I'm going to do it.' But when you have two minutes left and Kovacic goes in behind and loses the ball, and Rodri loses the ball, and Erling wants that ball - Bernardo was correct to not give him that ball..”Saiv mkuu kupigiwa kwny usajili limekua jambo la kawaida.Hii injury ya kdb dah, jamaa hakua biscuit namna hii.
Hapa inabidi aongezwe midfielder mwingine asee, nadhan hapa tutaingia wazima kwa paqueta japo iyo hela tunapigwa ila naona kuna uwezekano tukafumba macho tu tukaitoa.
"Sina nia ya kuondoka West Ham Lakini ni wazi kwamba tulitamani sana kucheza tukiwa wadogo katika klabu za Real Madrid, Barcelona na ManCity hizi ndio klabu kubwa ambazo ni ndoto ya kila mtu kuzichezea".

Lucas Paqueta Mshambuliaji wa West Ham.