Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hii Sheria mpya ya offside wanayotaka kuleta aisee
,,imagine hapo sio offside...

,,imagine hapo sio offside...

,,imagine hapo sio offside...
BREAKING: FIFA will test a new offside law, where the ENTIRE body of the attacker must be in front of the defender for it to be ruled out. The Netherlands, Italy and Sweden will test it during some games. 

basi Haina haja ya kukimbilia kuoa vijana...
| “𝐉𝐨𝐬𝐤𝐨 𝐰𝐚𝐧𝐭𝐬 𝐌𝐚𝐧𝐜𝐡𝐞𝐬𝐭𝐞𝐫 𝐂𝐢𝐭𝐲”


| 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 𝐉𝐨𝐬𝐤𝐨 𝐆𝐯𝐚𝐫𝐝𝐢𝐨𝐥
Leipzig want Joško Gvardiol to be the most expensive centre back in the history of football.
...hatuna cha kuchangia sana sisi ni walete team zao zifungwe bas.Team kama arsenal mpaka Sasa wanajitafuta kurudi kupigania epl next season maana maumivu tuliyowaachia sio mchezoWatu humu wanatupiga mawe kua team yetu ina mashabik wawili mara hatuchangai sana jukwaani hapa
Sasa ndg zng wanatak tuchangie nini.. Sisi team yetu ni uhakika makombe na ndo tumebeba Treble...hatuna cha kuchangia sana sisi ni walete team zao zifungwe bas.
Wny team tia tia maji ndo waendelee na Tetes hlf waje tuwakande kama kawaida msimu ujao.
View attachment 2677580
...
Chelshit project haieleweki halafu mashabiki walianza matusi basi matajiri tukaona kwanini kijana ateseke! Wakati anaweza kuja kucheza na mafundi wa mpira Bruno & Casemiro.ila Chelsea wamesambalatika aisee ..
Imagine mount mchezaji wa academy kabisa ,anatoka Chelsea anaenda man UTD na kiwango kilee chote
Japo man u na Chelsea sio rival ila hii kitu sio poa kabisa ,sawa na foden atoke city aende arsenal au united ....
Next season Chelsea sijui ,maana viungo matata wote wameamusha ..
Next season Chelsea ni team ya kujipigia tu ...wale kina madueke sijui Gallagher,pumzi hawana ya kutosha ..Chelshit project haieleweki halafu mashabiki walianza matusi basi matajiri tukaona kwanini kijana ateseke! Wakati anaweza kuja kucheza na mafundi wa mpira Bruno & Casemiro.