Kimahesabu hii game arsenal anaitaka zaidi kuliko tunavyoitaka sisi.Usiku wa deni haukawii, wavulana wa arteta leo watakuja kujaribu kufufua matumaini yao ya kuchukua ubingwa wa EPL.
Wanakuja kukutana na wanaume wababe wa hizi kazi na mabingwa watetezi, the Cityzens ambao wana kiu ya kutetea taji kwa mara ya tatu mfululizo.
NB: Etihad kila goti litapigwa na hii haitokiukwa.
Hiyo girona ni moja kati ya timu zilizopo kwenye city football group.Madrid kaadhibiwa vibaya sana na Girona. kapigwa 4.
Nmeangalia game zao kadhaa plus hii ya leo, jamaa wana defence soft na first leg kuna uwezekano wakamkosa alaba, na militao ana suspension UCL ya mechi 1.
Kimahesabu kwa maana ya ubingwa wa epl ipo hivyo ila kwa kuzingatia ratiba yetu ilivyo, sisi inabidi tushinde hii mechi ili kujiweka nafasi nzuri zaidi hata kama ikitokea kuna mechi tutajikwaa hapo mbele, Ratiba yetu sio rafiki lolote laweza kutokea.Kimahesabu hii game arsenal anaitaka zaidi kuliko tunavyoitaka sisi.
Leo watakuja kutafuta ushindi tu, watakuwa aggressive sana ila defence yetu kwasasa iko settled naamin itahimili pressure ya arsenal.
Tunahitaji kuwa clinical kutumia nafasi tunazopata kama tulivyofanya game iliyopita maana kuna uwezekano mkubwa sana arsenal watautawala mchezo.
Atutaki shobo na gaysNipigieni hayo maseno
Aggressiveness ya arsenal ndio itawaua, wao watakuja na pressure ya kupata matokeo, sisi tutahitaji utulivu tu pale nyuma game tunaimaliza mapema.Kimahesabu kwa maana ya ubingwa wa epl ipo hivyo ila kwa kuzingatia ratiba yetu ilivyo, sisi inabidi tushinde hii mechi ili kujiweka nafasi nzuri zaidi hata kama ikitokea kuna mechi tutajikwaa hapo mbele, Ratiba yetu sio rafiki lolote laweza kutokea.
Pep hawezi kubadili approach, kikosi leo ni kilekile ukiacha ake.Mahrez aling'aa kwenye game ya sheffield ila kulingana na threat ya winga za arsenal nadhan pep ataanza na bernado kwenye right wing ili kusaidia awe anashuka chini kusaidiana na akanji/walker. Mahrez huwa hawezi kufanya hiyo kazi.
Nategemea laporte ataanza pia kama replacement ya Ake iwapo pep atataka kucheza kwa structure ile ile aliyoitumia katika mechi kadhaa zilizopita (back three).
Rico lewis kwenye back three itakua ni risk.
Hii game hata sisi tutakua aggressive pia, tutegemee mchezo wa kushambuliana kwa zamu na transitions za kutosha.Aggressiveness ya arsenal ndio itawaua, wao watakuja na pressure ya kupata matokeo, sisi tutahitaji utulivu tu pale nyuma game tunaimaliza mapema.
Mahrez mechi iliopita aliuwasha sana nadhani leo pep ataanza na Mahrez badala ya BernadoPep hawezi kubadili approach, kikosi leo ni kilekile ukiacha ake.
Grealish......Haaland......Bernado
Gundogan.......Rodrigo.....KDB
Laporte...Dias....Stones....Akanji
..._______Ederson
Kwa perfomance ya mahrez, pep saivi atakua anakuna upara tu nani amuanzishe.Mahrez mechi iliopita aliuwasha sana nadhani leo pep ataanza na Mahrez badala ya Bernado