Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,080
- 16,052
Sawa mpiga ramliBado safari ni ndefu Sana ,Bado una game na Newcastle pale st James park
Game na Newcastle nakuhakikishia ushindi wako ni draw ...
Wanatafuta top 4 Kwa udi na uvumba ...
Sawa mpiga ramliBado safari ni ndefu Sana ,Bado una game na Newcastle pale st James park
Game na Newcastle nakuhakikishia ushindi wako ni draw ...
Wanatafuta top 4 Kwa udi na uvumba ...
Mkuu Mimi sijamfuatilia ansu fati game za Barcelona,unamuona anaweza kufit kwenye mfumo wa pep kweli ....Kuna uwezekano mkubwa barca wakakubali dau la City la €90 million kwa ajili ya Ansu Fati kutokana na hali ngumu ya kiuchumi waliyonayo ambapo inatakiwa wauze baadhi ya wachezaji ili waweze kusajili.
Yule Ansu fati akiletwa atasaidia tu kuongeza depth ya kikosi.Mkuu Mimi sijamfuatilia ansu fati game za Barcelona,unamuona anaweza kufit kwenye mfumo wa pep kweli ....
Sion ansu fati kama anaweza kumuweka Nan bench ...
Cheki kina palme ,lewis , Phillips ,wanavostruggle kuingia kwenye kikosi ....
Uchezaji wa ansu fati na foden hautofautiani sana.Mkuu Mimi sijamfuatilia ansu fati game za Barcelona,unamuona anaweza kufit kwenye mfumo wa pep kweli ....
Sion ansu fati kama anaweza kumuweka Nan bench ...
Cheki kina palme ,lewis , Phillips ,wanavostruggle kuingia kwenye kikosi ....
Tunashinda mechi zote zilobaki tutolee shobo rudi kwa wachov wenzio.
Pep Guardiola: "I have the feeling if we lose a game, we lose the Premier League... If we lose to Southampton, we're out. I don’t expect Arsenal are going to drop a lot of points like I didn’t expect it in the past when we won the Premier League by one point vs Liverpool.."Alvarez ni underrated long passer, nimefatilia mechi zake pale River plate nimegundua hilo.Haaland ni clinical finisher ,ni mrefu ,ana miguu mirefu ,Kwa hiyo cross nyingi kwenye box Kuna asilimia 90 kuziwin nakutupia kambani ...tofauti na Alvarez ...
Alvarez ni mzuri kwenye build up , kwenda mbele ....
Mfano unaona Lile goli la pili alilofunga kdb dakika 46 ,ile long ball kuhamisha uwanja upande kumtafuta Mahrez kule juu alipiga Alvarez....ambapo Mahrez alifikia mpira Yuko free akapiga cross chin kdb akajaa kambani ....kitu ambacho haaland hawezi .....
Unaweza kuona Alvarez anadrop chin kabisa huku ,wakati halaand anapenda kukaa katikati ya defender kufanya mikimbio wampigie pass kwenda mbele ...
Alvarez anaweza kucheza false 9 kuliko natural striker ....
€90m kwa msugua benchi pale barca ni zaidi ya kamari.Kuna uwezekano mkubwa barca wakakubali dau la City la €90 million kwa ajili ya Ansu Fati kutokana na hali ngumu ya kiuchumi waliyonayo ambapo inatakiwa wauze baadhi ya wachezaji ili waweze kusajili.
Alvarez anatakiwa awe adapted kucheza kama namba 10 nyuma ya Haaland.Alvarez ni underrated long passer, nimefatilia mechi zake pale River plate nimegundua hilo.
Pep experimented with stones as inverted fullback back in 2018 but it backfired and we lost all games he played in that position in a row.Tutegemee kumuona stones kwenye mechi nyingi zaidi akianza kama right back kwenye makaratasi (holding midfielder kwenye pitch).
Kwenye mechi ya liverpool, stones alitawala dimba zaidi kuliko Rodri.
Kama Liverpool akimshika arsenal hata draw jumapili basi matumain yatakuwa makubwa ...
Arsenal hata droo hapati hiyo siku.Kama Liverpool akimshika arsenal hata draw jumapili basi matumain yatakuwa makubwa ...
Uchezaji wa liverpool unakatisha tamaa.Arsenal hata droo hapati hiyo siku.
Nawaambia hivi, spirit tutakayoenda nayo kuchukua 3 points dhidi ya Liverpool ndio spirit hiyo hiyo tutakuja nayo Etihad..Arsenal hata droo hapati hiyo siku.
Klopp kashasema ,atawakaanga anfield mpaka mtajuta kuingia uwanjanNawaambia hivi, spirit tutakayoenda nayo kuchukua 3 points dhidi ya Liverpool ndio spirit hiyo hiyo tutakuja nayo Etihad..

