Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Rodri asipokuwa makin anakula red ..
Hela ya mafuta tamu sana
Kumbuka mmechukua ubingwa mara 2 kwa point 1 dhidi ya Liverpool kwa hela ya mafuta.
Lkn leo nampa ubingwa Arsenal
Rodri asipokuwa makin anakula red ..
Weka akiba ya haya maneno badae yasikuache na aibu.Namtoa Jota anaingia Nunez
Namtoa Gapko anaingia Bobby
Nakupiga hapo hapo kwako na rasmi Arsenal bingwa
Dua la bataMungu asaidie tuwadondoshe hizo race za ubingwa ili Arsenal achukue ubingwa kiulainiii Mungu saidie tuwachakaze hawa ma shit




kuku wa kideli naona anakufa kwa hiari.




haya ma kuku .