The Lowassa Magic!

Yaani CCM watabakia na wrong Assumption tuu october 25 ndiyo mwisho wao na wanakuwa officially chama cha upinzani.
Sasa sijui kama wameshajipanga nani atakuwa KUB?
 
Hao watu wote hapo kwenye maghorofa hapo Mjini wengi wao ni watumishi wa Umma na maafisa waandamizi wa Serikali, lakini naona nao wameamua kwa hiari yao wenyewe kuonyesha mapenzi yao ya wazi wazi kwa Lowassa na UKAWA.

Kwa hali hii ni lazima CCM wachukue hatua za tahadhari ya hali ya juu, maana nchi inakwenda mikononi mwa UKAWA hiyo.
 
Kuna habari zinasema hata pale ofisi za CCM Lumumba jana walizifunga kwa muda makada wa CCM wakaenda kwenye maandamano ya Lowassa na UKAWA, hadi walinzi wa ofisi za CCM walipotea ghafla kwenda kwenye safari ya mabadiliko.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…