Naona Dunia inapitia wakati mgumu sana ambao naweza kuubatiza jina la "The lost Decade", hasa kwenye eneo la uongozi kwa maana Marekani kuna Bw. Baraka Obama, Afrika Kusini kuna
Bw. Jakobu Zuma, Tanzania tuna Bw. Jakaya Kikwete na Kenya nao wamepata wao wa kukamilisha The lost Decade yao Bw.Uhuru Kenyata, kwa kifupi ni Miaka kumi ya Usanii na madhara ambayo hawa wasanii watakuwa wameyaacha itatuchukua muda mrefu sana kuja kuyasawazisha!