The Longest Train in the world

The Longest Train in the world

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
1545676_561426777304830_6852851746044610605_n.jpg
 
Ndiyo maana mawaziri wa tanzania hawataki reli ifufuke ili waendelee kufanya biashara ya kubeba mizigo kwa malori maana hilo moja ni sawa na malori 100
 
Sasa siku nyingine kama unataka ku-share nasi jambo hili zuri unatuwekea na maelezo kidogo ili hata tukienda Google tujue tunaanzia wapi kupata taarifa zaidi kuihusu.
 
ntafanya mkuu
 
Ndiyo maana mawaziri wa tanzania hawataki reli ifufuke ili waendelee kufanya biashara ya kubeba mizigo kwa malori maana hilo moja ni sawa na malori 100

Malori 500 mkuu, behewa moja hapo kama malorry mawili hivi, wenzetu wapo efficient sana kwenye hii sekta
 
Back
Top Bottom