The List | Orodha

The List | Orodha

Background Check

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
378
Reaction score
577
Hii siyo ile tamthiliya ya Orodha aliyoandika Steve Reynolds (Ile wakongwe tulijibia mtihani wa kidato cha nne laahasha.

Huu ni mtimdo mwingine wa tamthiliya isiyokuwa ya kusadikima bali bayana katikati yetu; naanza na hii halafu mwenye kuongeza sawa ataongeza.

1. Job Ndugai, ilikuwa mwanzo kabisa, jua lilipozama, na kuchomoza jua lingine.

2. Josephat Gwajima, alianza mapema kama Ndugai, lakini akajipa utulivu. Si mnakumbuka aligomea kukaa kwenye kiti.

3. Luhaga Mpina, huyu naye siyo haba. Mtakumbuka zile press za kweli zenye shahidi za kutosha. Lakini hakufua dafu kwa waziri yuleeee wa mwarabu wa kule Tabora.

4. Mrisho Gambo, huyu amekuja dakika za mwisho kabisa. Hasa mara baada ya Kete kumwendea vibaya kwenye draft la Msukuma wa CallMeJay.

5. Mwita Waitara, huko unaambiwa kunafuka Moshi inasemekana anaweza asitoboe si unajua mambo ya CHECK AND BALANCE.

6. January Makamba, sema huyu jamaa yupo karibu sana na Godfather. Kuna namna anaweza kuwa anaangaliwa kama Threat asije akaleta maafa zaidi.

7. Moses Nnauye, Mwamba kabisa huyu aliwahi jinasibu ni Mjanja wa uchaguzi. "Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box. Inategemea nani anahesabu na kutangaza."

Itaendelea.....
 
No reform no election
 
Lissu alikuwa anatamba hakuna wa kumgusa au kumfanya chochote nchi hii leo ana siku ya sabini yupo selo moja na waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa analialia!!
 
Back
Top Bottom