The lie game.
Ni mchezo wa uongo au kudanganyana, kulishana matangopori ππ.
Lengo ni kuenjoi tu na si vinginevyo.
Comment kitu Cha uongo then utajibiwa Cha uongo zaidi.
Mfano;-
"Nilipokuwa nasoma walimu waliniogopa kiasi kwamba wakitaka kuongea na mimi hunyoosha kwanza vidoleππ"