The law of Defamation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The law of Defamation

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Chapakazi, Jun 21, 2009.

 1. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Katika thread moja iliyofungwa hivi karibuni, kumetokea discussion nzuri na nzito juu ya the law of defamation. Kwa sababu hiyo thread imefungwa, ningependa tuje tuzungumzie hii sheria hapa, na jinsi inavyoweza kutumika katika kumshtaki mwanzilishi wa blogu iliyoleta maneno mengi ya 'zeutamu'.
  Ningependa ku-address ishu kama zilivyoletwa na wachangiaji.

  1. Kuhusu jurisdiction ya kesi ya Hoskin v Runting - kwanza kesi hii iliruhusu uchukiliwaji wa picha in public area, kuwa an interference on privacy - and therefore their publication being defamatory.
  Hii ni kesi ya Court of Appeal NZ, ni kesi ya mwaka 2004. At this time, NZ's highest court was the Privy Council. Kwa sasa imebadilika na kuwa the Supreme Court of New Zealand. Kwa nini ni muhimu kujua hili? Kwanza NZ inafuata Common Law. Hii kesi, as part of the Common Law, especially uki-add usikilizaji wa kesi za NZ ulikuwa na uwezo wa kufiki hadi PC Uingereza, ina maana kuwa kesi hii ina nguvu katika kuchangia sheria za uingereza pia. Nadhani Lawyer yeyote mwenye kesi inayoenda na hii Uingereza, angependa kujaribu ku-argue in favour of its adoption katika sheria zao. It presents a highly persuasive argument, by the second highest court in NZ.

  2. Kuna mtu aliyedhubutu kusema hakuna sheria za defamation US kwa madai kuwa wanalindwa na First Amendment ya Constitution yao. Ngojea nim-quote:
  "Defamation ni civil case kwa hiyo humo polisi na Interpol hawatakuwepo hata siku moja.
  Pia mnachanganyana, Marekani hauwezi kumshitaki mtu (na kushinda) for defamation kwa sababu mtu analindwa na first amendment ya constitution ya marekani, ndo maana Flint akashinda kesi yake.
  Uingereza ndo unaweza, lakini punishment za civil case ni malipo tu hakuna kifungo."


  Ningependa kumshauri kuwa defamation is a Common Law offence. The last time i checked, US follows the Common Law. Kuna kesi nyingi sana Marekani zinazoangalia defamation. Kitu unachoweza kusema, ni development ya hii law in the US imekuwa slighlty slower kwa sababu ya hiyo first amendment right. Lakini usiseme kuwa there is no such law in the US. Know your facts!

  3. Sawa, polisi haihusiki katika hizi kesi. Lakini kwa sababu wameshampata culprit, you as an individual claimant, can proceed with the lawsuit, au sio?

  4. Kuhusu kifungo, sawa, hakuna kifungo, lakini kutokana na possibility ya claimants 6000, nadhani ataweza kufilisishwa sana.

  5. Elements za kuonyesha ni:

  1. a publication to one other than the person defamed;
  2. a false statement of fact;
  3. that is understood as
   a. being of and concerning the plaintiff; and
   b. tending to harm the reputation of plaintiff. ​
  4. If the plaintiff is a public figure, he or she must also prove actual malice.
  5. Damage to the plaintiff
  Hapa nadhani ku-prove a false statement of fact, prima facie, inaweza kuleta matatizo. I would have to refer to the cases to see what this means, au evidence gani inahitajiku kuonyesha a false statement of fact. Mkinilipa nitawatafutia...hahahaha!

  Sijui kama Mods wataruhusu hii topic iwepo na discussion iendelee bila kumtaja mtuhumiwa. Hopefully we can have a civilised discussion over this.
   
Loading...