The Latest: Wisconsin recount is done, needs certification

The Latest: Wisconsin recount is done, needs certification

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,175
Reaction score
143,968
Haya, ile recount ya Wisconsin ndom ishamalizika na kilichobaki ni kuyaidhinisha tena matokeo na bibi [Hillary] kaambulia kura 25 tu za nyongeza na ushindi wa Trump bado upo palepale.

Sasa sishangai hata kwa nini narrative imeshageuka kutoka kwenye 'recount' na kwenda kwenye 'hacking'.

Halafu watu tukisema kuna concerted campaign ya kum-undermine Trump, wengine wanabisha.

Kushindwa kubaya aisee. Hahahahaa......

Wisconsin’s presidential recount has been completed and the state Elections Commission planned to vote Monday on certifying the results.

Republican Donald Trump’s margin of victory had decreased by just 25 votes with nearly all the ballots recounted. The final tally will be revealed once the recount is certified.

The recount began Dec. 1 after Green Party candidate Jill Stein requested and paid for it. Her attempts to get recounts in Michigan and Pennsylvania were blocked in court.


Stein suggested without evidence that voting machines in the three states could have been hacked.

With 95 percent of Wisconsin’s vote recounted Sunday, Hillary Clinton had picked up 25 votes on Trump, who won the state by more than 22,000 votes.

Wisconsin faced a Tuesday deadline to certify the vote or put its 10 Electoral College votes at risk.

The Latest: Wisconsin recount is done, needs certification

Nguruvi3 El Jefe

 
The whole thing was a sham and it fell flat on its face.

So now on to the next one: Russian hacking.

Indeed Trump is a tricky virus.
 
The whole thing was a sham and it fell flat on its face.

So now on to the next one: Russian hacking.

Indeed Trump is a tricky virus.

DT has won the election by a landslide
Folks need to move on
Too bad that sherrif Joe Arpaio lost
 
Huoni ilivyo nzuri kwake, kwamba no more innuendos!

Nadhani kuna kitu tujifunze hapa, kwamba wenzetu process zako zipo open
Mtu akidai haki inatendeka. From the very beginning nilisema, Trump hakuwa na sababu za ku react, the process ndiyo ina clear doubts

Sasa hili la Russia hacking reaction yake si nzuri. Limeanzishwa na kuendelezwa na Bipartisan. Trump anasema CIA hao ndio waliongopa kuhusu Saddam. Hii maana yake anafanya kazi na security apparatus asizoziamini

He won decisively hana sababu za kujenga mazingira ya kuonyesha ana hofu

Uchunguzi ufanyike na conclusion itolewe.
Na upo uwezekano, haya yametoka Dem au other sources

Now, in order to clear doubt aache kuzozana na security organs au congress

He is pres elect

Mzee...naona una gloss over political motivation iliyopo.

Hivi kabisa unaamini huyo Jill Stein alitaka hiyo recount kwa nia njema?

Unaamini kabisa kuwa hakuna mkono wa Dems nyuma yake uliokuwa unamsukuma kuomba hizo recounts?

Halafu hujaona kabisa jinsi narrative inavyobadilika? Ilikuwa recounts na sasa imekuwa Russian hacking na tayari baadhi ya Dems wanawaaza wale electoral college electors wasimchague Trump.

Yaani kabisa unataka kunambia hakuna politricks zinazoendelea hapo?

Hebu soma hii....

A Democratic lawmaker is desperately lobbying the Electoral College to shun Donald Trump, and vote for Hillary Clinton — even though he conceded Monday that the Republican won the election “fair and square.”

The plea from Rep. Jim Himes (D-Conn.) comes a week before the Dec. 19 vote, which is expected to affirm the results of the Nov. 8 election, in which Trump beat Clinton with 306 Electoral College votes.
 
Back
Top Bottom